Afisa Miradi wa Mfuko wa Misitu Tanzania(TaFF) Dkt. John Richard ameshiriki katika Mikutano ya Uwezeshaji Fedha kwa ajili ya Utalii unaozingatia kupunguza athari za mabadiliko ya Tabianchi inayoendelea pembeni ya Mkutano Mkuu wa 29 wa Umoja wa Mataifa unaohusu mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea Jijini Baku, Azerbaijan