Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) akiwasilisha mada kuhusu mpango mkakati wa muda mrefu wa utafutaji kwa lengo la kuufanya Mfuko kuwa na vyanzo vya uhakika na endelevu vya fedha. Mada imewasilishwa katika Mkutano wa 14 wa Shirikisho ya Mifuko ya Uhifadhi iliyopo Barani Africa (CAFE) unaoendelea nchini Namibia