The United Republic of Tanzania
Ministry of Natural Resources and Tourism
Tanzania Forest Fund-TaFF
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) Dkt. Tuli Msuya akishiriki Mkutano wa 14 wa Shirikisho la Mifuko ya Uhifadhi iliyopo Barani Afrika (CAFE) unaoendelea nchini Namibia.