The United Republic of Tanzania
Ministry of Natural Resources and Tourism
Tanzania Forest Fund-TaFF
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania amepewa zawadi na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii kutambua mchango wa Mfuko wa Misitu Tanzania katika kuwezesha ufugaji nyuki nchini.