Top
  • The United Republic of Tanzania

    Ministry of Natural Resources and Tourism

    Tanzania Forest Fund-TaFF

News and Events

Kuwasilisha Mada kwenye Mkutano wa 14 wa CAFE, Namibia

Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) akiwasilisha mada kuhusu mpango mkakati wa muda mrefu wa utafutaji kwa lengo la kuufanya Mfuko kuwa…

Read more

Mkutano wa 14 wa Shirikisho la Mifuko ya Uhifadhi iliyopo Barani Afrika (CAFE)

Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) Dkt. Tuli Msuya akishiriki Mkutano wa 14 wa Shirikisho la Mifuko ya Uhifadhi iliyopo Barani Afrika…

Read more

Kusaini Mikataba ya Utoaji Ruzuku

Katibu Tawala wa Mfuko wa Misitu Tanzania akiongoza zoezi la kusaini Mikataba ya Utoaji Ruzuku inatolewa na Mfuko wa Misitu Tanzania Songea Mkoani…

Read more

DED MBOZI AISHUKURU TaFF KWA KUTOA RUZUKU YA VIFAA KWA VIKUNDI 10

Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde ameushukuru Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) kwa kuwapatia ruzuku ya vifaa vikundi 10…

Read more

NEEC YATAMBUA MCHANGO NA UTENDAJI WA TaFF, YAIPATIA TUZO.

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imeshika nafasi ya pili katika  tuzo ya utendaji bora na Baraza la Taifa…

Read more