Top
  • The United Republic of Tanzania

    Ministry of Natural Resources and Tourism

    Tanzania Forest Fund-TaFF

MFUKO WA MISITU TANZANIA UTASHIRIKI KIKAO KAZI CHA WENYEVITI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA JIJINI ARUSHA

  

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Misitu Tanzania na Mtendaji Mkuu watashiriki kikao kazi cha Wenyeviti na Watendaji Wakuu kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Kikao kazi hicho kitafunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 19 Agosti, 2023.