Top
  • The United Republic of Tanzania

    Ministry of Natural Resources and Tourism

    Tanzania Forest Fund-TaFF

ZIARA YA BODI YA WADHAMINI WA MFUKO WA MISITU TANZANIA TaFF KWENYE SHAMBA LA MITI SILAYO WILAYANI CHATO MKOA WA GEITA

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Misitu Tanzania ikiongozwa na Mwenyekiti Bodi hiyo Prof. Shabani A. Chamsama wametembelea Shamba la Miti Silayo kwa Lengo la Kukagua Utekelezaji wa Thamani ya Fedha za Ruzuku Zilizotolewa na Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) kwa Lengo la Kuanzisha na Kuendeleza Shamba Hilo Wilayani Chato Mkoani Geita tarehe 07 Mei, 2023.

Kwa picha zaidi tembelea: https://www.mfukowamisitu.go.tz/index.php/resources/photos