Top
  • The United Republic of Tanzania

    Ministry of Natural Resources and Tourism

    Tanzania Forest Fund-TaFF

MFUKO WA MISITU TANZANIA WASHIRIKI MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM (SABA SABA)

Mfuko wa Misitu Tanzania watangaza fursa ya ruzuku inayotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya Uhifadhi, Usimamizi na Uendelezaji wa rasilimali Misitu katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama saba saba (77). Mfuko umejipanga kutoa huduma kidigitali kwa kutumia Mfumo wa Kielekroniki wa Usimamizi Miradi kwa wadau wanaoomba na watakaopata ruzuku.

Pata Fursa ya Ruzuku kwa Kupakua Nyaraka Mbalimbali za Mfuko wa Misitu Tanzania Scan QR Code Hapa Chini:

SCAN QR CODE HAPO JUU KUPATA FURSA ZA MFUKO WA MISITU TANZANIA (TaFF)

Kupata Picha Zaidi Tembeleahttps://www.mfukowamisitu.go.tz/index.php/resources/photos