Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa akimkabidhi tuzo Katibu Tawala Dkt. Tuli Salum Msuya kwa Mfuko kuwa sehemu ya wawezeshaji wa maadhimisho ya siku ya nyuki duniani.
Kwa picha zaidi tembelea: https://www.mfukowamisitu.go.tz/index.php/newsroom/gallery/mfuko-washiriki-na-kufadhili-siku-ya-nyuki-duniani-21-mei-2023-singida