Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MFUKO WA MISITU TANZANIA(TaFF)

Mkutano Mkuu wa 29 wa Umoja wa Mataifa

Imewekwa: 18 December, 2024
Mkutano Mkuu wa 29  wa Umoja wa Mataifa

Afisa Miradi wa Mfuko wa Misitu Tanzania(TaFF) Dkt. John Richard ameshiriki katika Mikutano ya Uwezeshaji Fedha kwa ajili ya Utalii unaozingatia kupunguza athari za mabadiliko ya Tabianchi inayoendelea pembeni ya Mkutano Mkuu wa 29  wa Umoja wa Mataifa unaohusu mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea Jijini Baku, Azerbaijan