Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MFUKO WA MISITU TANZANIA(TaFF)

Ruzuku Kubwa

Ruzuku Kubwa

Kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi Milioni 20 (TZS 20,000,000) lakini hakizidi Shilingi Milioni 50 (TZS 50,000,000). Ruzuku hii itatolewa kwa makundi yote isipokuwa watu binafsi na CBOs. Ruzuku kubwa ni kwa ajili ya miradi ambayo utekelezaji wake unaweza kuchukua hadi miaka miwili (miezi 24).