Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MFUKO WA MISITU TANZANIA(TaFF)

Walengwa wa Ruzuku

WALENGWA (WANAOWEZA KUOMBA RUZUKU)

  1. Watu Binafsi
  2. Vikundi vya kijamii (Community Based Organizations -CBOs)
  3. Asasi za Kiraia na Taasisi za Dini
  4. Mashirika yasiyo ya Kiserikali
  5. Taasisi za mafunzo na Taasisi za utafiti
  6. Taasisi za Serikali