Maeneo ya Kipaumbele
- Uhifadhi, Usimamizi na Uendelezaji wa rasilimali misitu.
- Uboreshaji wa maisha ya jamii zinazoishi pembezoni mwa misitu hususani miradi inayohusiana na ufugaji nyuki.
- Utafiti unaolenga kuboresha uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa rasilimali misitu.
- Kujenga uwezo wa Taasisi za Serikali za mafunzo na utafiti.