Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MFUKO WA MISITU TANZANIA(TaFF)

Ruzuku ya Kati

Ruzuku ya Kati:

Kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi Milioni 10 (TZS 10,000,000) lakini hakizidi Shilingi Milioni 20 (TZS 20,000,000). Ruzuku hii itatolewa kwa makundi yote isipokuwa watu binafsi na CBOs. Ruzuku ya kati ni kwa ajili ya miradi ambayo utekelezaji wake unaweza kuchukua hadi miezi 18.