Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MFUKO WA MISITU TANZANIA(TaFF)

Maono na Dhamira

Dira

Kuwa Taasisi inayoongoza kuwa chanzo cha uhakika na endelevu cha fedha kwa ajili ya kuwezesha na kugharamia uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za misitu

Dhima

Kuhakikisha upatikanaji endelevu wa fedha na kuwezesha na kugharamia uhifadhi, usimamizi, uendelezaji na matumizi endelevu ya rasilimali za misitu Tanzania.

Misingi Mikuu

  • Uwazi;
  • Uwajibikaji;
  • Uadilifu;
  • Haki na Usawa; na
  • Ushirikiano katika kufanya kazi.