Zawadi kwa Katibu Tawala
Zawadi kwa Katibu Tawala
Imewekwa: 18 December, 2024

Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania akipokea zawadi kutoka kwa Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii kutambua mchango wa Mfuko wa Misitu Tanzania katika kuwezesha ufugaji nyuki nchini.